Tarehe 23/01/2026, POWA 255 na kwa kushirikiana na walifanikisha mpango wa Reusable Menstrual Pads. Katika mpango huu, pedi zinazoweza kutumika tena zilitengenezwa na kugawiwa kwa wanafunzi takribani 42 wa Shule ya Sekondari Manushi, iliyopo Moshi, mkoa wa Kilimanjaro. ♻️📦 Pedi hizi zitawasaidia wanafunzi kuendelea kukaa shuleni kipindi chote cha hedhi kwa hadi miaka mitatu, bila vikwazo wala kukosa masomo. 🤝 Wewe pia unaweza kuwa sehemu ya mabadiliko haya Support kwa kumnunulia mwanafunzi mfuko mmoja wa pedi kupitia https://geyser.fund/project/hedhihuru/posts/view/5473?mtm_campaign=project-share&mtm_keyword=hedhihuru-post-5473&mtm_source=visitor&mtm_medium=geyser&mtm_content=post-share-button